Mswaili Mmoja Alekwenda Kwa Sonara Akaona Dhahabu Nzuri.
Kuinama Kuangalia Dhahabu Akashuta Akangalia Kila Pande Kama Kuna Mtu Akamuona Sonara Kwa Bahati Mbaya.
Akamuliza Sonara: Hii Dhahabu Shiling Ngapi?
Sonara Akamjibu Umeona Tu Dhabu Ukashuta, Je Nikikuambia Bei Si Utahara!
Monday, January 10, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment